Tuesday, 2 April 2019



   01/04/ 2019 kikundi cha USHIKI kimeanza rasmi kwa mujibu wa makubaliano yaliyo fikiwa na wanachama wote katika kikao cha tarehe 03 /07 /2018.

   Wanachama wote walikubaliana kutoa 10000 kila baada ya wiki 02 katika mfuko wa kikundi (hisa).

   Tumshukuru mungu zoezi lilienda salama na pesa zote zilikabiziwa benki.

No comments:

Post a Comment

KARIBUNI KATIKA BLOG HII YA USHIKI GROUP.

USHIKI GROUP    ni blog ya kikundi cha USHIKI   kilichopo wilaya ya ILALA  kata ya TABATA mtaa wa MATUMBI makao makuu yake yapo MATUMBI.  ...