Wednesday, 3 April 2019

KARIBUNI KATIKA BLOG HII YA USHIKI GROUP.

USHIKI GROUP   ni blog ya kikundi cha USHIKI  kilichopo wilaya ya ILALA  kata ya TABATA mtaa wa MATUMBI makao makuu yake yapo MATUMBI. 


  MADHUMUNI YA KIKUNDI CHA USHIKI . 
i)kusaidiana,  Kuelimishana, kupeana mbinu za kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na kubuni miradi mbalimbali ili kuinua kipato chetu wote kiuchumi na kimaisha. 

 Kikundi hiki hakifungamani na Udini, Ukabila, Rangi wala jinsia bali kimeanzishwa ili kusaidia wanakikundi wote tujikwamue kiuchumi.
Pia hakihusiani na masuala ya Siasa na Uchochezi.


No comments:

Post a Comment

KARIBUNI KATIKA BLOG HII YA USHIKI GROUP.

USHIKI GROUP    ni blog ya kikundi cha USHIKI   kilichopo wilaya ya ILALA  kata ya TABATA mtaa wa MATUMBI makao makuu yake yapo MATUMBI.  ...